Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemhukumu Bwana wa vita katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Thomas Lubanga adhabu ya kifungo cha miaka 14 jela.
Mahakama hiyo imetia hatiani kwa kuhusika kwake katika kutumia watoto kama askari katika jeshi la uasi katika miaka ya 2002 na 2003.
Hata hivyo Lubanga alikana tuhuma hizo na kusema hakuwahi kutumia watoto katika jeshi la uasi.
Lakini katika uamuzi wa pamoja, Majaji waliokuwa wakisikiliza kesi yake walise Lunga anapaswa kuwajibika kwa tuhuma hizo.
No comments:
Post a Comment