Sunday, August 12, 2012

HILI HAPA TAMASHA LA “LOVE TANZANIA” LILIVYOTIA FORA VIWANJA VYA JANGWANI JIJI DAR...!


Huu ni umati wa watu kutoka maeneo mbalimbali walivyofurika kwenye Tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA linaloendelea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka Marekani.


Vijana walioongoza na Askofu Andrew Palau wakitoa burudani na mafundisho ya dini kwa njia muziki.


Wana Dar es Salaam wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Jangwani.


Mmoja wa Wahudumu katika Tamasha hilo akipata chakula cha mchana na familia yake Uwanjani hapo.


Umati wa watu ukiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya chakula uwanjani hapo.


Moja ya Magari na wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi iliyopewa Zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd likiwa limepaki katika Viwanja vya Jangwani kuhakikisha Usafi unazingatiwa Uwanjani hapo wakati tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA likiendelea.


Pichani Juu na Chini ni moja ya michezo iliyofanyika kama sehemu ya burudani uwanjani hapo ambapo ilionekana kuvutia Umati wa Watanzania waliohudhuria tamasha hilo.



Vijana, Watoto kwa Wazee wakitazama mchezo wa mapikipiki.


Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Green Waste Pro Ltd akihakikisha swala usafi linazingitiwa uwanjani hapo kama inavyoonekana.


Wananchi waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia mchezo wa Baiskeli.



Palikuwa hapatoshi Jangwani.


Ulinzi na Usalama kwa raia ulikuwepo.


Familia zikiendelea kula, kunywa na kufurahi uwanjani hapo.


Hili ni Jukwaa la kimataifa kutoka nchini Uganda maalum kwa ajili ya Tamasha lililopewa jina la "LOVE TANZANIA" likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka nchini Marekani, haijawahi kutokea kusikia Sound na Mziki wa Ukweli nchini kwa mliohudhuria tamasha hili mtasema.

Monday, August 6, 2012

PREZZO MSHINDI WA PILI SHINDANO LA BIG BROTHER AFRICA 2012

Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Bongo Flava, kutoka nchini Kenya Prezzo (pichani kushoto) akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa ndani ya Jumba la BBA Afrika, baada ya kuibuka kidedea katika nafasi ya pili ya shindano hilo la Big Brother StarGAME 2012 , lililomalizika usiku wa kuamkia leo. Prezzo alitangazwa kuwa mshindi wa pili nyuma ya Keagan kutoka nchini Afrika ya Kusini ambaye aliibuka kidedea katika nafasi ya kwanza na kutwaa Taji la Big Brother StarGAME 2012 na dola za Kimarekani 300,000, ambazo ni sawa na milioni 460 za kitanzania, huku Prezzo, pia akiambulia na kuteuliwa kuwa Balozi wa One Campaign na kupata nafasi ya kuwa mmoja kati ya Wasanii watakaohudhuria katika jukwaa na Shoo kubwa ya mkali Jay Z itakayofanyika nchini Marekani hivi

Wanne Wamekufa Katika Ajali Mlima Kitonga Iringa






Gari ya kampuni ya Asas Iringa ikijaribu kutoa msaada wa kuvuta malori yaliyogongana ili kutoa maiti iliyobanwa na lori.

Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga akiwa katika eneo la tukio.

WATU wanne wamekufa papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya baada ya malori mawili kugongana na kutumbukia bondeni katika mteremko wa mlima kitonga wilayani Kilolo katika barabara kuu ya Iringa - Dar es Salaam.


Maroli hayo moja lenye shehena kubwa ya madini aina ya shaba na lingine lenye bidhaa mbalimbali za dukani yanalindwa vikali na askari Polisi wa wilaya hiyo, ili kunusuru mali hizo zisiibiwe.


Akizungumza katika eneo la ajali Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Taifa, Mohamed Mpinga alisema kwa masikitiko kwamba ajali nyingi zinazoendelea kutokea nchini zimekuwa zikisababishwa na uzembe wa madereva.


Tarifa kutoka kwa mashuhuda waliokuwepo katika eneo la tukio zimedai kwamba, ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana na kuwa chanzo cha ajali hiyo ni lori lenye namba za usajili T587 BGP aina la Scania.


Mashaka Abdala alisema roli hilo lenye mali mbali mbali za dukani lilikuwa limeharibika na kuegeshwa kando ya barabara hiyo na liligongwa na lori lingine lenye namba za usajili T T319 BDG aina ya Scania pia ambalo breki zake zilikataa wakati likitelemka katika mlima huo.


Akithibitisha vifo vya watu waliokuwemo kwenye maroli hayo, Mpinga alisema taarifa za Polisi zimethibitisha watu wanne kati ya sita waliokuwemo katika maroli hayo kufa hapo huku mmoja akijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa.


Mbali na majina yao kutofahamika mara moja, mpaka tunakwenda mitamboni maiti moja ilikuwa bado haijatolewa kutoka kwenye kibini ya moja ya maroli hayo kilichopondwa na kufunikwa na kontena za maroli hayo, katika bonde la mlima huo.


Taarifa za kipolisi zimedai kwamba katika ajali hiyo kibini ya roli lilolokuwa limepakia shaba lilifunikwa na kontena za maroli hayo baada ya kwa pamoja maroli hayo kutumbukia katika korongo la mlima huo.


Ajali hiyo ni moja kati ya ajali nyingi zinazoendelea kutokea mkoani Iringa huku ukiwa katika maandalizi ya kitaifa ya kuadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani.


Kamanda Mpinga aliwakumbusha madereva kuzingatia sheria za barabarani na akahidi kwamba msako mkali wa wale wanaokiuka sheria hizo utaanza kufanywa.


Mpinga alisema kikosi cha usalama barabarani kitaweka utaratibu wa ukaguzi maalumu wa magari katika maeneo ambayo ajali zimekuwa zikitokea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na katika mlima huo.
Chanzo: www.frankleonard.blogspot.com na http://francisgodwin.blogspot.com

AJIRA AJIRA AJIRA....CHANGA MKA NAFASI ZA KUTOSHA




DEPUTY RECTOR - ACADEMIC, RESEARCH AND CONSULTANCY
Qualification: PhD in Finance, Accounting, Management and other field related to the College of
Business Education & be eligible for registration as technical teachers
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR OFFICE ATTENDANT
Qualification: Form IV Certificate holder who has attended basic induction course in office
management
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR PLANNING OFFICER
Qualification: Masters Degree or Postgraduate Diploma in either Economics or Planning
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR INTERNAL AUDITOR
Qualification: Bachelor of Business Administration-Accountancy or Advanced Diploma in Accountancy or equivalent with possession of full professional accounting
qualifications certificate such as CPA (T), or ACCA, or CIMA,
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - WATER QUALITY MANAGEMENT
Qualification: Master's Degree major in Chemistry & Microbiology or Water Quality Management
who is eligible for registration as technical teacher.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR - PHYSICS
Qualification: Master's Degree in Physics, who is eligible for registration as technical teacher.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - MATHEMATICS
Qualification: Master's Degree in Mathematics, who is eligible for
registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - LAND SURVEY
Qualification: Master's Degree in Land Survey (Geometrics or Informatics), who is eligible for
registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

MEDICAL SUPERINTENDENT
Qualification:Degree in Medicine
Apply: buzrecruitment@barrick.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 13,2012
DIRECTOR OF FINANCE AND ADMINITRATION
Qualification: Master’s degree in business adminitration,or finance Apply: icap-tz-hr@columbia.edu .
Details: Daily News, Aug 02, 2012
Deadline: August 14,2012

FOREIGN EXCHANGE MANAGER
Qualification: Experience and sound knowledge of handing various trade finance and treausry back office functions in banks
Apply: Human Resources
I & M bank ( T) limited ,
Box 1509 , Dar es Salaam
Details: Daily News, Aug 02, 2012
Deadline: August 12,2012

SENIOR INSURANCE OFFICER
Qualification: Bachelor’s degree in Insurance or related field from recognized higher learning institutions of which Master’s degree
Apply: Managing Director
Azania Bank limited ,
Box 32089 , Dar es Salaam
Details: Daily News, Aug 01, 2012
Deadline: August 14,2012

PRINCIPAL TRADE FINANCE OFFICER
Qualification: Business related University degree from recognized higher learning institutions of which a Master’s degree Commecial banking in trade Finance area
Apply: Managing Director
Azania Bank limited ,
Box 32089 , Dar es Salaam
Details: Daily News, Aug 01, 2012
Deadline: August 14,2012

RENEWABLE ENERGY AND
CLIMATE CHANGE ADVISOR
Qualification:Graduate/Masters qualifications in related field
Apply: AECF Professional
positions KPMG Tanzania ,
Box 1160 Dar es Salaam
e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz
Details: The citizen, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

RESULTS & PERFORMANCE ADVISOR
Qualification:Graduate/Masters qualifications in related field
Apply: AECF Professional
positions KPMG Tanzania ,
Box 1160 Dar es Salaam
e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz
Details: The Citizen, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

AGRIBUSINESS ADVISOR
Qualification:Graduate/Masters qualifications in Agriculture/
Agriculture Economics/Business
Apply: AECF Professional
positions KPMG Tanzania ,
Box 1160 Dar es Salaam
e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz
Details: The citizen, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

CLERK OF WORKS(CIVIL/STRUCTURAL ENGINEER)
Qualification:Bachelor degree in civil or structural engineering a masters degree
Apply: Chief Executive Officer,
TanzaniaNational Reinsurance
Corporation Limited
Box 1505 Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 12,2012

PROJECT IMPLEMENTATION OFFICER
Qualification:Bachelor degree in Architecture,civil engineering,
quantity surveying or real estate management from arecognized
university
Apply: Chief Executive Officer,
TanzaniaNational Reinsurance
Corporation Limited
Box 1505 Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 12,2012

M & E REGIONAL COORDINATORS
Qualification:University degree/Advance Diploma in information Technology,data management,social sciences,health sciences,epidemiology/statistics or a related discipline.
Apply: Walter Reed Program
Human resources manager,
Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 17,2012

M & E DIRECTOR
Qualification:Master’s degree in public Health,epidemiology,social sciences,statistics or related field.
Apply: Walter Reed Programme
Human resources manager,
Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 17,2012

REGIONAL CLINICAL COORDINATOR
Qualification:Training as MD required.Master’s in public Health or equivalent desirable
Apply: Walter Reed Program
Human resources manager,
Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 17,2012

REGIONAL LAB COORDINATORS
Qualification:Diploma/Advance Diploma in medical laboratory technology
Apply: Walter Reed Program
Human resources manager,
Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 17,2012

PROCESS PLANT TRAINER
Qualification:Advance secondary school education ,Teaching qualifications are highly regarded
Apply:
buzrecruitment@barrick.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 13,2012

HUMAN RESOURCES OFFICER(TIME AND ATTENDENCE)
Qualification:Advance secondary school education certificate is required,certificate in time and attendance management or acknowledgement of in house training
Apply: buzrecruitment@barrick.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 13,2012

INSTRUMENTATION SPECIALIST
Qualification:Must have completed an international recognized Apprenticeship Training majoring in international & control + Diploma in instrumentation & control / full technician certificate ( FTC) in instrumentation field
Apply: buzrecruitment@barrick.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 13,2012

MARC WAREHOUSE SUPERVISOR
Qualification:Tertiary qualifications in warehouse supervisions
Apply:
buzrecruitment@barrick.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 13,2012

IT TECHNICIAN - HARDWARE AND NETWORKING
Qualification: Bachelor Degree/
Advance Diploma in respective field with PHP & my SQL experience.
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

WEB DESIGNER
Qualification: Bachelor Degree/
Advance Diploma in respective field with PHP & my SQL experience.
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

FREELANCE TEAM LEADER
Qualification: Bachelor Degree/
Advance Diploma in respective field with cellular network experience
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

CUSTOMER CARE TELE EXECUTIVES
Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

RETAILS SHOP SALES IN CHARGES
Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

SALES EXECUTIVES
Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field preferably with Telecom/FGCG wholesale experience
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

CORPORATE SALE EXECUTIVES
Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field preferably with IT experience
Apply: Hrmanagertz@gmail.com
Details: Mwananchi, July 30,2012
Deadline: August 20,2012

SENIOR TUTOR II - IRRIGATION
ENGINEERING
Qualification: Master's Degree in Irrigation or Water Resources Engineering or Equivalent, whois eligible for registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - GEOTECHNICAL ENGINEERING
Qualification: Master's Degree in Geotechnical or Civil Engineering, who is eligible for registration as technical teacher.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - ENVIRONMENTAL ENGINEERING
Qualification: Master's Degree in Environmental Engineering or Equivalent, who is eligible for
registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - COMMUNICATION SKILLS
Qualification: Master's Degree in Communication Skills, who is
eligible for registration as
technical teacher.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - CHEMISTRY
Qualification: Master's Degree in Chemistry, who is eligible for
registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II - AGRONOMY
Qualification: Master's Degree in Agronomy or Agricultural Engineering, who is eligible for registration as technical teacher.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

MANAGEMENT INFORMATION
SYSTEMS OFFICER WEBMASTER
Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

SENIOR TUTOR II (FINANCIAL MANAGEMENT
Qualification: Bachelor’s Degree in Commerce or Bachelor degree in Business Administration with
education plus Masters Degree in either Business Administration, Commerce/Financial Management
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

CHIEF EXECUTIVE
Qualification: Masters degree in Forestry with specialisation in
forest biology from a recognised
University.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

BURSAR
Qualification: Bachelor degree in Commerce(Accountancy/Finance), Business Administration
(Accountancy/Finance) or Advanced Diploma in Accountancy with CPA (T), ACCA or ACA from a recognised institution
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

DEPUTY RECTOR PLANNING, FINANCE AND ADMINISTRATION
Qualification: Masters Degree or PhD holder of higher academic standing with credentials to be
categorised as associate Professor of higher learning institution.
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

RECTOR/PRINCIPAL
Qualification: PhD in Wildlife Management, Wildlife Tourism, Tourism Training or any relevant
field of study and be eligible for
registration as technical teacher
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR LECTURER
Qualification: At least a 2nd Class Upper Division LL B Degree
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100, Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

INTERNAL AUDITOR GRADE I
Qualification: Bachelor Degree in Accounting/Finance or Commerce from recognized Agency /Institution with CPA (T), ACCA or equivalent professional qualification
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100, Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II (EDUCATIONAL PLANNING AND MANAGEMENT) - 2
POSITIONS
Qualification: Masters Degree in Education Planning or Educational Management)
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR II (EDUCATIONAL MANAGEMENT & ADMINISTRATION)
Qualification: Master of Arts with Education (MA-Ed.)
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

SENIOR TUTOR I (CURRICULUM DEVELOPMENT & IMPLEMENTATION)
Qualification: Master of Arts with Education (MA-Ed.)
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100, Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

TECHNICIAN II(CIVIL) - 19 POSITIONS
Qualification: Full Technician
Certificate (Civil)/ Diploma in Civil
Engineering
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

ENGINEER II ( CIVIL ) - 21 POSITIONS
Qualification: Bachelor Degree in Civil engineering or equivalent
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

PROGRAMME COORDINATOR
Qualification: Master’s degree in either Project/Programme Management ,Finance ,Economics or Business Administration
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,
July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

DIRECTOR OF MANAGEMENT TRAINING, RESEARCH AND CONSULTANCY
Qualification: Master’s degree or Post Graduate Diploma in either Management, Business Administration, Commerce, Computer Science, Economics, Engineering, Marketing, Accountancy or Finance
Apply: Secretary Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

DIRECTOR GENERAL
Qualification: PhD or Master’s in Natural/Social Science who attained a minimum of second class
at undergraduate level
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: www.ajira.go.tz
Deadline: August 10,2012

PUBLIC FINANCIAL MANAGEMENT (PFM) ADVISOR
Qualification: Master’s degree /Postgraduate diploma in either Finance, Business Administration or Management
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

COMMUNICATION SPECIALIST
Qualification: Master’s degree or Postgraduate diploma in Mass Communication,Journalism or Business Administration
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

FINANCE EXPERT/ADMINISTRATOR
Qualification: Master’s degree in either Business Administration,
Finance, or any Account
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

PROCUREMENT SPECIALIST
Qualification: Master’s degree in either Procurement and Supply Chain Management,Engineering, Business Administration Finance or Economics
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

MONITORING AND EVALUATION
( M & E ) SPECIALIST
Qualification: Master’s degree in either Project/Programme Planning and Management ,Finance ,Economics or Business Administration
Apply: Secretary
Public Service Recruitment
Box 63100,Dar es Salaam
Details: Daily News,July 27, 2012
Deadline: August 09,2012

MANAGEMENT INFORMATION
SYSTEMS OFFICER
Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,
July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

ASSISTANT GRAPHIC DESIGNER
Qualification: Diploma in Arts and Design or equivalent qualification
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,
July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

ASSISTANT OFFICE MANAGEMENT SECRETARY
Qualification: Diploma in secretarial services,Business Administration or any other related field from a recognized Institution
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

MANAGEMENT INFOMATION SYSTEMS ASSISTANT - 3 POSITIONS
Qualification:Diploma in Computer Science,Information Technology or equivalent qualification
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

LIVELIHOODS ENHANCEMENT
MANAGER
Qualification: A Master’s degree in Entrepreneurshp,Business Administration,Economics or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

TRANSPORT OFFICER
Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Mechanical Engineering,Transport logistics and Business Administration or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

DEVELOPMENT COMMUNICATION OFFICER
Qualification: A first degree or equivalent qualification in Mass Communication,Public Relations and Social Sciences or any other
related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

PUBLIC WORKS PROGRAME MANAGER
Qualification: A master’s degree in Civil Engineering,Land use Planning,Forestry or any other related field from a recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,
July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

MONITORING & EVALUATION OFFICER
Qualification: A first degree or equivalent qualification in Economics,Statistics,Socialogy or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,
July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

MANAGEMENT INFORMATION
SYSTEMS OFFICER
Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

SAFEGUARDS SPECIALIST
Qualification: Holder of master’s degree in Enviroment,Social
Science and Community
development or any other related field from a recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

TRAINING AND PARTICIPATION
SPECIALIST
Qualification: Holder of master’s degree in Social Science,Community development and Human Resources or any other related field from a recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

UNIFIELD REGISTRY OF BENEFICIARIES MANAGER
Qualification: A Master’s degree in Social Science,business Statistics or any other development related field from a recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

CONDITIONAL CASH TRANSFER
MANAGER
Qualification: A Master’s Degree in Social Science,Econimics and Business Administration or any other development related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

COORDINATION MANAGER
Qualification: Holder of master’s degree in Social Sciences,Business Administration,Engineering or any other related field from a
recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

DISBURSEMENTS MANAGER
Qualification: Holder of master’s degree in Finance,Accounting and Finance Business Administration or any other related field
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,
July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

DIRECTOR OF COMMUNITY SUPPORT
Qualification: Holder of master,s degree in Social Science,Business,
Civil Engineering or any other
development related field
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

DIRECTOR OF COORDINATION
Qualification: Holder of Master’s degree in Business Administration,Human Resource,Engineering,Socialogy or any other development related
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi,July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

DIRECTOR OF KNOWLEDGE MANAGEMENT AND ADVOCACY
Qualification: Holder of master’s degree in computer science
mass communication,social
science or other development field from a recognized university
Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012

RESULTS PROGRAMME MANAGER
Qualification: A postigraduate degree in a relevant discipline such as evaluation,social science or economics, preferably with a research component and / or specific
training in monitoring, evaluation,
research methods & data analysis
Apply:
recruitment@trademarkea.com
Details: The Citizen, July 17, 2012
Deadline: August 10,2012

ASSISTANT PROGRAMME OFFICER
(JAPAN OVERSEAS COOPERATION VOLUNTEERS PROGRAME-JOCV)
Qualification: A Bachelor’s Degree.
Apply: Senior Representantive,
General Affairs Section,
JICA Tanzania Office,
Box 9450 ,Dar es Salaam
Details:The Citizen,July 16, 2012
Deadline: August 24,2012

PROGRAMME OFFICER(GENERAL AFFAIRS SECTION)
Qualification: A Bachelor’s Degree.
Apply: Senior Representantive,
General Affairs Section,
JICA Tanzania Office,
Box 9450 ,Dar es Salaam
Details:The Citizen, July 16, 2012
Deadline: August 24,2012

ASSISTANT DESKTOP PUBLISHER
Qualification: Diploma in Arts Design or equivalent qualification Apply: Tanzania Social Action
Fund (TASAF)
Box 9381,Dar es Salaam
Details: Mwananchi, July 17, 2012
Deadline: August 17,2012


chanzo gazeti la mwananchi.