Tuesday, July 10, 2012

WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA Vs YANGA WALIVYOMENYANA KATIKA USIKU WA TAMASHA LA MATUMAINI.


Kikosi cha timu ya wabunge washabiki wa yanga wakipasha.
Kikosi cha Wabunge washabiki wa Simba.
Gemu lenyewe. 



Pichani Juu na chini ni wabunge mashabiki wa Simba wakifurahia ushindi baada ya kuwanyuka wabunge mashabiki wa Yanga bao 1-0. (Picha zote na Jofrey Mwakibete wa MO BLOG)

CHANZO NA MO-BLOG

No comments:

Post a Comment