Mchungaji Dkt. Elia Shaban Mligo mtumishi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kusini Njombe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kitabu Kipya cha Utafiti kwa Lugha ya Kiswahili alichokiandika na kukiita JIFUNZE UTAFITI: Mwongozo kuhusu Utafiti na Uandishi wa Ripoti yenye mantiki. Kushoto ni Mchapishaji Mkumbo Mitula.
No comments:
Post a Comment