Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akizindua msafara wa magari wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.Kushoto Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba.
Msafara wa magari ya Vodacom Tanzania ukipita katika barabara ya Morogoro maeneo ya Manzese jijini Dar es Salaam yakiwabeba wafanyakazi wa kampuni hiyo leo wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania akibandika tangazo linaonyesha huduma za m-pesa wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika mitaa ya Mbagala jijini Dare s Salaam wakitembea kwenda kuwaelimisha wateja wao wakati wa kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Mzee Said Ally mkazi wa Mbagala akipewa maelekezo na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania juu ya huduma ya m-pesa wakati wa Promosheni kuazimisha siku ya wateja nchini nzima ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Wasanii wakiburudisha wakati wa Promosheni kuazimisha siku ya wateja wa kampuni hiyo ambapo wafanyakazi wa kampuniya Vodacom walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakibandika matangazo katika moja ya kibanda cha duka Mbagala Zakiemu yakionyesha huduma za m-pesa wakati wafanyakazi hao walipokuwa wakiazimisha siku ya wateja ambapo wafanyakazi wa kampuni hiyo walienda mitaani kuelimisha wateja kuhusu huduma ya m-pesa na promosheni zinazoendelea za punguzo la utumaji fedha la asilimia 75 na bonasi hadi asilimia 25 unaponunua muda wa hewani kupitia m-pesa.
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imeanza kuwatembelea wateja wao nchi nzima ili kujua changamoto gani ambazo wanakutana nazo baada ya kuzindua promosheni ya punguzo la huduma ya kutuma pesa (M-pesa) kwa asilimia 75.
Pamoja ya kujua changamoto za huduma hiyo pia kampuni hiyo imeangalia jinsi wateja wake walivyo pokea huduma hiyo muhimu.
Akizungumza mjini Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Rene Meza amesema kwa kutambua umuhimu wa wateja wao hapa nchini kampuni hiyo imetenga siku muhimu ijulikanayo kama ‘Siku ya masoko’ ili kuangalia jinsi gani wateja wao walivyo elewa na kuzipokea huduma zao.
Naye Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba amesema huduma ya M-pesa imerahisisha maisha kwa wananchi wa hali zote hapa nchini kwani kwa kutumia huduma hiyo wateja wameweza kulipia huduma ya Luku pamoja na ada kwa wanafunzi bila matatizo.
Kampuni ya Vodacom imeweka kianzio cha Sh 50 cha kutuma pesa na bonas ya asilimia 25 kwa wateja wake ambayo itaenda sambamba na zawadi ya kitita cha Sh milion 480 kushindaniwa.
Maeneo ambayo yametembelewa na Vodacom kwa Dar es Salaam ni pamoja na Kariakoo, Tegeta, Kimara, mbezi pamoja na Mbagala.
No comments:
Post a Comment