Friday, February 17, 2012

BASI LA ABOOD LAPATA AJALI ASUBUHI YA LEO MAENEO YA MBEZI.

Basi la kampuni ya Abood likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi  likitokea Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo.Chanzo cha ajali hii hakikujulikana ila inasemekana ni kutokana na dereve kuovertake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka.
Wananchi wakitazama jinsi basi la abood lilivyopinduka huku wengine wakiokoa abiria waliopo kwenye basi hilo asubuhi ya leo.Picha Na Lukaza Blog http://josephatlukaza.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment