Thursday, February 23, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA KUJADILI SOMALIA JIJINI LONDON LEO.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Lancaster House jijini London leo February 23, 2012 kijiunga na viongozi wa nchi mbalimbali katika mkutano wa kujadili mstakabali wa nchi ya Somalia ambayo imekuwa katika misukosuko kwa zaidi ya miaka 20 ambapo jumuiya ya kimatifa ikiongozwa na Uingereza imepania kumaliza matatizo mbalimbali katika nchi hiyo ikiwemo kutokuwa na serikali inayoeleweka, uharamia, ugaidi pamoja na kujaribu kurudisha amani.(PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment