Thursday, February 23, 2012

DERBREW YAIBUKA NA PROMOTION YA ZIBUA BUYU NA USHINDE.

Watengenezaji na wasambazaji wa kinywaji cha Kibuku katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro kampuni ya Darbrew Limited wamezindua promosheni kwa walaji wa mwisho ambapo kila mnnunuzi anaweza kujishishindia TV, radio, Simu, T-Shirt, Kofia na Kibuku ya Bure.
Promosheni hiyo itakuwa ya majuma nane (8) kuanzia tarehe 20 Februari 2012 kwa wateja wote wa Dar es Salaam, Pwani na Morogoro.
Darbrew Limited hutengenezwa kwa mtama na mahindi na ina lishe nyingi zinazohitajika kwa afya ya mtumiaji.

No comments:

Post a Comment