Thursday, February 23, 2012

MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA RENE MEZA,KUTEMBELEA OFISI ZA CLOUDS FM LEO JIJINI DAR

MKUU WA VIPINDI WA CLOUDS FM,SEBASTIAN MAGANGA AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TAZNAIA,BW,RENE MEZA(TATU KULIA)MAPEMA LEO ASUBUHI KWENYE OFIS ZA CLOUDS FM MEDIAGROUP,MIKOCHENI JIJINI DAR,KUSHOTO NI J.KUSAGA WA TATU NI RUGE MUTAHABA AMBAO NI BAADHI YA VIONGOZI WAKUU WA MEDIA HIYO,MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA,BW RENE MEZA ALIFANYA ZIARAFUPI MJENGONI HAPO NA KUONGEA SHUGHULI ZINAZO FANYAWA NA KAMPUNI HIYO
BAADA YA KUTEMBELEA VITENGO MBALIMBALI VYA KAMPUNI HIYO,MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA,BW .RENE MEZA ALIPATA WASAA WA KUKAA PAMOJA NA WAKUU WA VITENGO MBALIMBALI NA WAKURUGENZI NDANI YA KAMPUNI HIYO NA KUZUNGUMZA NAO MAMBO KADHAA IKIWEMO MIKAKATI MBALIMBALI YA UTENDAJI WA KAZI KWA PANDO ZOTE MBILI
TANZANIA,BW RENE MEZA ALIFANYA ZIARAFUPI MJENGONI HAPO NA KUONGEA SHUGHULI ZINAZO FANYAWA NA KAMPUNI HIYO

No comments:

Post a Comment