Thursday, February 23, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA NYAMA CHA SAAFI CHA SUMBAWANGA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Nyama cha Saafi baada ya kuwasili kwenye kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Sumbawanga Februari 22, 2012, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa. Kiwanda hicho kinamilikiwa na mzawa wa Mtanzania, Dkt. Mzindakaya.
Pichani Juu na Chini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu uchinjaji wa Ng’ombe na matayarisho yake hadi kufikia nyama kamili kutoka kwa Meneja wa  Kiwanda cha Nyama cha Saafi, Dkt. Engelbert Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania Mzawa, Dkt. Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa Februari 22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu vipimo vinavyotumika kabla ya  Ng’ombe kuchinjwa kutoka kwa Meneja wa  Kiwanda cha Nyama cha Saafi, Dkt. Engelbert Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania Mzawa, Dkt. Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa  Februari 22, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu matayarisho na ufungaji wa nyama katika mifuko tayari kwa kuuzwa kwa wateja kutoka kwa Meneja wa  Kiwanda cha Nyama cha Saafi, Dkt. Engelbert Bilashoboka, wakati alipotembelelea Kiwanda hicho cha Mtazania Mzawa, Dkt. Mzindakaya, kilichopo Sumbawanga, akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa Februari 22, 2012. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).

No comments:

Post a Comment