Thursday, February 23, 2012

CHRISS NA JENNIFER WAMEREMETA JIJINI DAR.

Bibi Harusi Jennifer akisindikizwa kuingia kanisani tayari kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Joseph la jijini Dar es Salaam iliyofanyika February 18,2012.
Auncle Sumi akimsindikiza Binti yake Jennifer.

 Sisi sote ni mwili mmoja hadi kifo kitakapotutenganisha….
“Mke wangu nakuvisha pete hii iwe ishara ya upendo wangu kwako, iwe ishara ya uvumilivu wako kwangu “katika shida, raha na taabu….” Hayo ni maneno ya Bw. Chriss kwa Mkewe Bi. Jennifer.
Maharusi na wapambe wao katika pozi mara baada ya kufungishwa ndoa.
Mrs. Chriss akiwa na furaha tele.

Maharusi katika picha ya pamoja na wapambe wao.

No comments:

Post a Comment