Friday, August 3, 2012

Kutoka ikulu Zanzibar:Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro na Waziri Mkuu Mizengo Pinda


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais kutokana na Ajali ya meli ya Mv Skigit,na kusababisha Wananchi kupoteza roho zao hivi karibuni.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment