Fununuhabari blog inatoa pole kwa wadau wa tasnia ya muziki nchini Tanzania na duniani kwa ujumla wakiwemo wasanii wa muziki hapa nchini hususan wasanii wa kike ambao wengi waliingia katika muziki baada ya kuvutiwa na uimbaji wake.
Mungu Aipumzishe Roho Yake Mahali Pema Peponi- Amina.
No comments:
Post a Comment