Monday, February 27, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA MRADI WA NG’OMBE WA KISASA MKOANI SHINYANGA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banda la ng’ombe wanaofugwa kisasa  wa familia ya Raphael Masanja   katika kijiji cha Nyamigege  katika jimbo la Uchaguzi la  Msalala wilayani Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga  Februari 25, 2012;(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amembeba mtoto Raphael Mihayo (2) wakati alipokagua mradi wa ufugaji wa ng’ombe wa kisasa kwenye familia  ya Mzee Raphael Masanja katika  kijiji cha Nyamigege wilayai Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012.
 Msanii Toogwa Madilisha wa Kijiji cha Chela katika jimbo la uchaguzi la Msalala wilayani Kahama  akicheza ngoma ya pachanga wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji hicho akiwa katika  ziara ya mkoa wa Shinyanga, Februari 25, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment