Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, leo February 24, 2012 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia atahudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo. Pichani akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa Botswana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama.
Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride uwanja hapo.
Makhirikhiri wakitoa burudani Uwanjani hapo.
Wananchi wa Botswana wakishangilia kwa furaha ujio wa Rais Kikwete.
No comments:
Post a Comment