Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Uswiss nchini, Bw. Oliver Chave kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uswiss nchini Bw. Oliver Chave, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment