Monday, February 13, 2012

NHIF WAKARIBISHA MWAKA 2012 KWA STAILI YA KUJINAFASI

 MAFANNIKIO YOYOTE HAYAWEZI KWENDA BILA UWEPO WA MWANAMKE,MAMA MKURUGENZI AKIFANYA MAMBO HUKU AKIAMBATANA NA MKURUGENZI MKUU KATIKA KUFANYA MAJUMUISHO NA MAKARIBISHO YA MWAKA MPYA.
 MKURUGENZI WA  UHAI WA MFUKO,TAKWIMU NA UTAFITI  BWN. MICHAEL MHANDO ALIPATA TUZO YA UTAMBUZI KWA KUTUMIKIA MFUKO KWA MIAKA 10.
 MWENYEKITI WA KAMATI YA SHEREHE AMBAYE NI MKURUGENZI WA UENDESHAJI WA NHIF BWN. EUGEN MIKONGOTI HAKUWA NYUMA KATIKA KUWAKARIBISHA WAALIKWA KATIKA SHEREHE HIYO. 
 MAMBO YA KWAITO HAYAKUWA NYUMA TIMU YA WANA NHIF IKIJIMWAGA KAMA KAWA, KWANI NI SEHEMU YA KUJENGA AFYA.

No comments:

Post a Comment