STATE AFRICA
Friday, February 17, 2012
GARI DOGO AINA YA SUZUKI KUPIGWA PASI NA LORI KUBWA UBUNGO MTAA LEO
Gari aina ya Suzuki ikiwa imepigwa pasi maeneo ya Ubungo karibu na mataa ya ubungo.Mwenye gari ndogo alichomeka lori na hatimaye kupigwa pasi na lori.
Wananchi wakiangalia gali dogo lilivyopigwa pasi maeneo ya Ubungo Mataa asubuhi ya leo
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment