Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (Kulia) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine akishuhudia ni Edina Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel Tanzania.
Pichani kushoto ni Mteja wa Airtel akifurahi baada ya kukabidhiwa ua na maafisa wakuu wa huduma kwa wateja pale alipotembea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam, (kulia) ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba
Meneja huduma kwa wateja Godfrey Kavishe (kulia) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine akishuhudia ( wapili kulia) ni Edina Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel akifatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba
Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na wateja waliotembea Maduka ya Airtel na kuzawadiwa ua ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine
Mwakilishi wa huduma kwa wateja akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Makao Makuu ya Airtel Morocco ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine akishuhudia ni Edna Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel Tanzania.
No comments:
Post a Comment