Mbunge wa Kinondoni Iddi Azan (kulia) na Mbunge wa Muheza Hebert Mtangi wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma .
Maafisa wa Bunge wakifuatilia hoja mbalimbali za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha 2012-2013.
Mwingulu Mchemba (kulia) wa jimbo la Iramba Mashariki akibadilishana hoja na Mbunge wa Namtumbo Vita Kawawa Bungeni Dodoma
Naibu Spika Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Same Mashariki Anne Kilango Malecela katika viwanja vya Bunge –Dodoma,.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment