Mkurugenzi wa Serengeti freight CHRIS LUKOSI akiwa pamoja na waziri wa habari na mawasiliano wa Kenya Mheshimiwa SAMUEL PHOGISO na mkurugenzi wa Kenya cntral bank Sudan branch MARIHA NYALIET CHOL, bila kusahau dada SHOSE KOMBE ambaye ni mtanzania na ni customer service supervisor wa KCB tanzania. Kwenye mkutano huo ulioandaliwa na ubalozi wa kenya hapa UK . Serengeti freight ni kampuni inayokua kwa kasi nchini UK na inategemea kufungua matawi mbalimbali nchini KENYA na South Sudan.Picha kwa hisani ya misterseed
No comments:
Post a Comment