Saturday, August 4, 2012

MSANII ROMA ANUSURIKA KWA AJALI YA GARI MAPEMA LEO AKIELEKEA MORO



Msanii wa hip hop nchini ROMA amepata ajali mbaya maeneo ya Morogoro road, ROMA mwenye gari ndogo amesema kwamba alikua kwenye mwendo mdogo mdogo ndipo hafla tair la mbele lilipopata pancha na likacha njia na kwenda upande wa pili wa barabara na kugongana na uso kwa uso na lori...!!!
Roma amesema kwenye ajali hiyo watu waliokuepo kwenye gari hilo hakuna aliyeumia ila now anaelekea hospital kwa checking zaidi.

No comments:

Post a Comment