Friday, August 3, 2012

BANK ABC YAKABIDHI KOMBE LA SUPER8


Mkurugenzi Mtendaji wa Muunganiko wa Makampuni ya BancABC, Douglas Munatsi(kulia) akimkabidhi Makamu wa kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Athuman Nyamlani kwa ajili ya mashindano ya BancABC SUP8R wakati wa uzinduzi rasmi uliofanyika Dar es Salaam.

Picha ya Pamoja ya Uongozi wa BancABC,Mabalozi wa BancABC kutoka Kampuni ya Integreted Comminications na Kombe.

No comments:

Post a Comment