Sunday, July 8, 2012

CHAMELEONE AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR

Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa usiku huu.
Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa Taifa usiku huu.
Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' usiku wa leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo

Sehemu ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar waliokuwa wanafuatilia shoo hiyo.
(PICHA ZOTE NA WAPIGA PICHA WA GPL WALIOKUWA UWANJA WA TAIFA

1 comment:

  1. Yet again fantastic submit. You seem to have a good understanding of these kind of themes.When I entering your website,We thought this particular . Think about it and writting your blog post may well be more interesting. For a Achievement!

    ReplyDelete