Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 20, 2012. Wanne kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye alimpa heshima hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wa pili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa Mtemi Masanja na mkewe kuwa Ngole katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Maswa Februari 20, 2012. Walikuwa kwenye ziara ya mkoa wa Shinyanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment