Mtangazaji wa Radio Clouds FM,Adam Mchomvu a.k.a Baba John nae alipata wasaha wa kupanda jukwaani na kutoa hadithi yake ya kuchekesha.
Evans akiigiza kama DJ.
Evans na Mshkaji wake wakuruka nae majoka (kucheza muziki).
Dogo Pepe nae kama kawaida yake,akipanda jukaani lazima mkome wenyewe kwa vituko vyake.
Enika akiimba nyimbo zake za kuchekesha.
MC Taji Liundi akiwa Libenekeni usiku huu.
Mchekeshaji Maarufu Nchini,Evans Bukuku akikafanya vitu vyake usiku huu katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jiji Dar wakati wa Shoo yake ya kuvunja mbavu za watu (kucheka) iliyomalizika muda mfupi uliopita.
Mtangazaji wa Radio Clouds FM,Adam Mchomvu a.k.a Baba John nae alipata wasaha wa kupanda jukwaani na kutoa hadithi yake ya kuchekesha.
Kila Mtu alieingia kwenye shoo hiyo ya Evans Bukuku alifurahi sana na kuongeza siku zake za uhai (maana wanasema kucheka pia ni uhai tosha).
No comments:
Post a Comment