Wednesday, February 22, 2012

PINDA AFUNGUA TAWI JIPYA LA BENKI YA CRDB BARIADI MKOANI SHINYANGA.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la Benki ya CRDB la Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 21, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawi la Benki ya CRDB  Bariadi baada ya kulifungua Februari  21, 2012..  Alikuwa  katika ziara ya mkoa wa Shinyanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 5,000,000/= kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRD, Tuli Mwambapa  baada ya kufungua tawi la Benki hiyo Bariadi Februari 21, 2012.  Waziri Mkuu Pinda alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Waiziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment