Mke wa chriss Mosby "Aneth" Akitoka Saloon Maznat iliyoko Mikocheni tayari kuelekea kanisani
Wakionyesha Vyeti vya ndoa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Kijitonyama
Katika picha ya pamoja ya ndugu na marafiki waliohudhuria
Marafiki wa Bwana Harusi waliosoma pamoja Chuo kikuu cha Tumaini Dar es salaam wakicheza Kwaito
No comments:
Post a Comment