Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla wakioneshana umwamba wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.
Refarii Antoni Luta katikati akimnyanua mkono juu bondia Rashidi Matumla kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.(Picha nawww.superd boxingcoach.blogspot.com)
Date: 2012-02-25
Venue: PTA Hall, Dar es Salaam , Tanzania
Commission: Pugilistic Syndicate of Tanzania
Promoter: Issa Malanga Promotion
[1] Lightfly weight
Moses Musa WPTS 4 rounds of a 4 rounder VS Fred Cloud
- Referee: Ramadhan Basta 39 – 37
[2] Super Featherweight 6 rounds
Shomari Mirundi DREW 4 rounds of a 4 rounder VS Mohammed Kashinde
- Referee: Pembe Ndava 38 – 38
[3] Super Bantamweight 4 rounds
Muhidini Ndolanga WPTS 4 rounds of a 4 rounderVS Shukuru Said
- Referee: Ramadhan Basta 40 – 36
[4] Light Welterweight
Hamis Mputeni WKO round 2 of a 6 rounder VS Rashid Makali
- Referee: Pembe Ndava; Judges:Ramadhan Basta, Emmanuel Mlundwa, Anthony Ruta
[5] Flyweight 6 rounds
Hassani Kiwale WTKO round 2 of a 6 rounder VS Mawazo Kanju
- Referee: Emmanuel Mlundwa Judges: Pembe Ndava , Ramadhan Basta, Anthony Ruta
[6] Super Middleweight 6 rounds
Idd Kigula WTKO round 4 of a 6 rounder VS Shabani Kaineko
- Referee: Emmanuel Mlundwa Judges: Pembe Ndava , Ramadhan Basta, Anthony Ruta
[7] Female Boxing Middle/Super Middle
Monica Mwakasanga WPTS 4 rounds of a 4 rounder VS Furaha Nganda
- Referee: Emmanuel Mlundwa 40 – 36
[8] Super Middleweight 10 rounds
Rashid Matumla WPTS 10 rounds of a 10 rounder VS Maneno Oswald
- Referee/Judge: Anthony Ruta 97 – 93; Judges: Pembe Ndava 95 – 95, Ramadhan Basta 97 – 95
No comments:
Post a Comment