Thursday, February 16, 2012

JK AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU JIJINI DAR.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha,  Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.(Picha na IKULU).

No comments:

Post a Comment