Wednesday, February 8, 2012

BREAKING NEWSSSS,MAANDAMANO YA WANAHARAKATI DAR ES SALAAM SASA HIVI!

Mwanaharakati akiwa amebeba Bango linalosema ''Nani amegoma Daktari au Serikali?
Haya ndio maandamano yanayoendelea sasa hivi Palm Beach Dar es salaam, yanawahusisha wagonjwa na wanaharakati kuhusu hali ya hospitali ya Muhimbili, nitaendelea kuweka picha nyingine kadri zinavyonifikia ( asante kwa picha Mwasapi Kihongosi kupitia twitter).

picha kutoka kwa Michael Dalali fB.



1 comment: