Monday, February 27, 2012

ALLAN LUCKY a.k.a SKONGA NA HAIKA SAMWELI HATIMAYE WAMEKUWA MWILI MMOJA.

 Gari lililombeba Bibi Harusi likiwasili ukumbini.
Maids na Bwana Harusi wakiwasili ukumbini tayari kwa ibada ya ndoa.
Maids katika pozi.
Bwana Harusi na mpambe wake wakiongozwa na warembo kuingia ukumbi tayari kwa ibada ya ndoa.
Bwana Harusi na mpambe wake wakisubiri kuwasili kwa Bibi Harusi.
Bibi Harusi Haika Samwel akishuka kwenye gari.
Maharusi na wapambe wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa.

Put a ring on it Allan.…Bwana Harusi akimvisha pete mkewe.
Bibi Harusi naye akifanya vivyo hivyo kwa mumewe.

Duuuuh Siamini kama amekuwa wangu…..!!! Maharusi wakitafakari jambo.

1 comment:

  1. hongera allan ishi kwa akili na mkeo kama neno lisemavyo.

    ReplyDelete