Sunday, January 22, 2012

MAN U YAITUNGUA ARSENAL GOLI 2 KWA 1 NYUMBANI KWAO

Mchezeji wa Man United Valencia akionekana juu kwa juu akitingisha wavu kwa bao alilofunga kwa kichwa  katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza, baada ya vuta ni kuvute ya mechi hiyo kati Manchester United Vs Arsenal
Mchezaji wa Man United Welbeck akifunga bao la pili.
 Katika dakika dakika 80 Welback alitingisha wavu tena kwa bao la pili na kusababisha Man United kutoka kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Arsenal.


Mpira uliendelea kwa kasi, vuta ni kuvute timu zote mbili zilikuwa zikifanya mashambulizi ya kushinda mchezo huo kwa matumaini ya kutuliza mpira chini, kwa utulivu na  makini, kipindi cha pili dakika 71 mchezaji wa Arsenal Robin van Persie kusawazisha bao 1-1 katika mchezo huo uliochezwa leo hii.

Kizaa zaa kiliaza tena pale timu ya Man United  kubadilisha mchezo baada ya timu Arsenal  kusawazisha bao hilo.

pata taarifa zaidi


1 comment: