Wema akijifua kabla ya kuingia katika kinyanganyiro .
Wolper naye akijifua kabla ya kuingia katika kinyanganyiro
Mwamuzi akiamua mpambano uanze.
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwenye Tamasha la Matumaini.
No comments:
Post a Comment