Huu ni umati wa watu kutoka maeneo mbalimbali walivyofurika kwenye Tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA linaloendelea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka Marekani.
Vijana walioongoza na Askofu Andrew Palau wakitoa burudani na mafundisho ya dini kwa njia muziki.
Wana Dar es Salaam wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Jangwani.
Mmoja wa Wahudumu katika Tamasha hilo akipata chakula cha mchana na familia yake Uwanjani hapo.
Umati wa watu ukiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya chakula uwanjani hapo.
Moja ya Magari na wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi iliyopewa Zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd likiwa limepaki katika Viwanja vya Jangwani kuhakikisha Usafi unazingatiwa Uwanjani hapo wakati tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA likiendelea.
Pichani Juu na Chini ni moja ya michezo iliyofanyika kama sehemu ya burudani uwanjani hapo ambapo ilionekana kuvutia Umati wa Watanzania waliohudhuria tamasha hilo.
Vijana, Watoto kwa Wazee wakitazama mchezo wa mapikipiki.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Green Waste Pro Ltd akihakikisha swala usafi linazingitiwa uwanjani hapo kama inavyoonekana.
Wananchi waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia mchezo wa Baiskeli.
Palikuwa hapatoshi Jangwani.
Ulinzi na Usalama kwa raia ulikuwepo.
Familia zikiendelea kula, kunywa na kufurahi uwanjani hapo.
Hili ni Jukwaa la kimataifa kutoka nchini Uganda maalum kwa ajili ya Tamasha lililopewa jina la "LOVE TANZANIA" likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka nchini Marekani, haijawahi kutokea kusikia Sound na Mziki wa Ukweli nchini kwa mliohudhuria tamasha hili mtasema.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya 'Bongo Flava, kutoka nchini Kenya Prezzo (pichani kushoto) akiwa katika mahojiano na mtangazaji wa ndani ya Jumba la BBA Afrika, baada ya kuibuka kidedea katika nafasi ya pili ya shindano hilo la Big Brother StarGAME 2012 , lililomalizika usiku wa kuamkia leo. Prezzo alitangazwa kuwa mshindi wa pili nyuma ya Keagan kutoka nchini Afrika ya Kusini ambaye aliibuka kidedea katika nafasi ya kwanza na kutwaa Taji la Big Brother StarGAME 2012 na dola za Kimarekani 300,000, ambazo ni sawa na milioni 460 za kitanzania, huku Prezzo, pia akiambulia na kuteuliwa kuwa Balozi wa One Campaign na kupata nafasi ya kuwa mmoja kati ya Wasanii watakaohudhuria katika jukwaa na Shoo kubwa ya mkali Jay Z itakayofanyika nchini Marekani hivi
Gari ya kampuni ya Asas Iringa ikijaribu kutoa msaada wa kuvuta malori yaliyogongana ili kutoa maiti iliyobanwa na lori. Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Mohamed Mpinga akiwa katika eneo la tukio. WATU wanne wamekufa papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya baada ya malori mawili kugongana na kutumbukia bondeni katika mteremko wa mlima kitonga wilayani Kilolo katika barabara kuu ya Iringa - Dar es Salaam.
Maroli hayo moja lenye shehena kubwa ya madini aina ya shaba na lingine lenye bidhaa mbalimbali za dukani yanalindwa vikali na askari Polisi wa wilaya hiyo, ili kunusuru mali hizo zisiibiwe.
Akizungumza katika eneo la ajali Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Taifa, Mohamed Mpinga alisema kwa masikitiko kwamba ajali nyingi zinazoendelea kutokea nchini zimekuwa zikisababishwa na uzembe wa madereva.
Tarifa kutoka kwa mashuhuda waliokuwepo katika eneo la tukio zimedai kwamba, ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana na kuwa chanzo cha ajali hiyo ni lori lenye namba za usajili T587 BGP aina la Scania.
Mashaka Abdala alisema roli hilo lenye mali mbali mbali za dukani lilikuwa limeharibika na kuegeshwa kando ya barabara hiyo na liligongwa na lori lingine lenye namba za usajili T T319 BDG aina ya Scania pia ambalo breki zake zilikataa wakati likitelemka katika mlima huo.
Akithibitisha vifo vya watu waliokuwemo kwenye maroli hayo, Mpinga alisema taarifa za Polisi zimethibitisha watu wanne kati ya sita waliokuwemo katika maroli hayo kufa hapo huku mmoja akijeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa.
Mbali na majina yao kutofahamika mara moja, mpaka tunakwenda mitamboni maiti moja ilikuwa bado haijatolewa kutoka kwenye kibini ya moja ya maroli hayo kilichopondwa na kufunikwa na kontena za maroli hayo, katika bonde la mlima huo.
Taarifa za kipolisi zimedai kwamba katika ajali hiyo kibini ya roli lilolokuwa limepakia shaba lilifunikwa na kontena za maroli hayo baada ya kwa pamoja maroli hayo kutumbukia katika korongo la mlima huo.
Ajali hiyo ni moja kati ya ajali nyingi zinazoendelea kutokea mkoani Iringa huku ukiwa katika maandalizi ya kitaifa ya kuadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani.
Kamanda Mpinga aliwakumbusha madereva kuzingatia sheria za barabarani na akahidi kwamba msako mkali wa wale wanaokiuka sheria hizo utaanza kufanywa.
Mpinga alisema kikosi cha usalama barabarani kitaweka utaratibu wa ukaguzi maalumu wa magari katika maeneo ambayo ajali zimekuwa zikitokea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na katika mlima huo. Chanzo: www.frankleonard.blogspot.com na http://francisgodwin.blogspot.com
DEPUTY RECTOR - ACADEMIC, RESEARCH AND CONSULTANCY Qualification: PhD in Finance, Accounting, Management and other field related to the College of Business Education & be eligible for registration as technical teachers Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR OFFICE ATTENDANT Qualification: Form IV Certificate holder who has attended basic induction course in office management Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR PLANNING OFFICER Qualification: Masters Degree or Postgraduate Diploma in either Economics or Planning Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR INTERNAL AUDITOR Qualification: Bachelor of Business Administration-Accountancy or Advanced Diploma in Accountancy or equivalent with possession of full professional accounting qualifications certificate such as CPA (T), or ACCA, or CIMA, Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - WATER QUALITY MANAGEMENT Qualification: Master's Degree major in Chemistry & Microbiology or Water Quality Management who is eligible for registration as technical teacher. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR - PHYSICS Qualification: Master's Degree in Physics, who is eligible for registration as technical teacher. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - MATHEMATICS Qualification: Master's Degree in Mathematics, who is eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - LAND SURVEY Qualification: Master's Degree in Land Survey (Geometrics or Informatics), who is eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
MEDICAL SUPERINTENDENT Qualification:Degree in Medicine Apply: buzrecruitment@barrick.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 13,2012 DIRECTOR OF FINANCE AND ADMINITRATION Qualification: Master’s degree in business adminitration,or finance Apply: icap-tz-hr@columbia.edu . Details: Daily News, Aug 02, 2012 Deadline: August 14,2012
FOREIGN EXCHANGE MANAGER Qualification: Experience and sound knowledge of handing various trade finance and treausry back office functions in banks Apply: Human Resources I & M bank ( T) limited , Box 1509 , Dar es Salaam Details: Daily News, Aug 02, 2012 Deadline: August 12,2012
SENIOR INSURANCE OFFICER Qualification: Bachelor’s degree in Insurance or related field from recognized higher learning institutions of which Master’s degree Apply: Managing Director Azania Bank limited , Box 32089 , Dar es Salaam Details: Daily News, Aug 01, 2012 Deadline: August 14,2012
PRINCIPAL TRADE FINANCE OFFICER Qualification: Business related University degree from recognized higher learning institutions of which a Master’s degree Commecial banking in trade Finance area Apply: Managing Director Azania Bank limited , Box 32089 , Dar es Salaam Details: Daily News, Aug 01, 2012 Deadline: August 14,2012
RENEWABLE ENERGY AND CLIMATE CHANGE ADVISOR Qualification:Graduate/Masters qualifications in related field Apply: AECF Professional positions KPMG Tanzania , Box 1160 Dar es Salaam e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz Details: The citizen, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
RESULTS & PERFORMANCE ADVISOR Qualification:Graduate/Masters qualifications in related field Apply: AECF Professional positions KPMG Tanzania , Box 1160 Dar es Salaam e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz Details: The Citizen, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
AGRIBUSINESS ADVISOR Qualification:Graduate/Masters qualifications in Agriculture/ Agriculture Economics/Business Apply: AECF Professional positions KPMG Tanzania , Box 1160 Dar es Salaam e-mail: mlyamuya@kpmg.co.tz Details: The citizen, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
CLERK OF WORKS(CIVIL/STRUCTURAL ENGINEER) Qualification:Bachelor degree in civil or structural engineering a masters degree Apply: Chief Executive Officer, TanzaniaNational Reinsurance Corporation Limited Box 1505 Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 12,2012
PROJECT IMPLEMENTATION OFFICER Qualification:Bachelor degree in Architecture,civil engineering, quantity surveying or real estate management from arecognized university Apply: Chief Executive Officer, TanzaniaNational Reinsurance Corporation Limited Box 1505 Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 12,2012
M & E REGIONAL COORDINATORS Qualification:University degree/Advance Diploma in information Technology,data management,social sciences,health sciences,epidemiology/statistics or a related discipline. Apply: Walter Reed Program Human resources manager, Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 17,2012
M & E DIRECTOR Qualification:Master’s degree in public Health,epidemiology,social sciences,statistics or related field. Apply: Walter Reed Programme Human resources manager, Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 17,2012
REGIONAL CLINICAL COORDINATOR Qualification:Training as MD required.Master’s in public Health or equivalent desirable Apply: Walter Reed Program Human resources manager, Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 17,2012
REGIONAL LAB COORDINATORS Qualification:Diploma/Advance Diploma in medical laboratory technology Apply: Walter Reed Program Human resources manager, Box 6396 Mbeya or e-mail: jobswrpmbeya@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 17,2012
PROCESS PLANT TRAINER Qualification:Advance secondary school education ,Teaching qualifications are highly regarded Apply: buzrecruitment@barrick.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 13,2012
HUMAN RESOURCES OFFICER(TIME AND ATTENDENCE) Qualification:Advance secondary school education certificate is required,certificate in time and attendance management or acknowledgement of in house training Apply: buzrecruitment@barrick.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 13,2012
INSTRUMENTATION SPECIALIST Qualification:Must have completed an international recognized Apprenticeship Training majoring in international & control + Diploma in instrumentation & control / full technician certificate ( FTC) in instrumentation field Apply: buzrecruitment@barrick.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 13,2012
MARC WAREHOUSE SUPERVISOR Qualification:Tertiary qualifications in warehouse supervisions Apply: buzrecruitment@barrick.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 13,2012
IT TECHNICIAN - HARDWARE AND NETWORKING Qualification: Bachelor Degree/ Advance Diploma in respective field with PHP & my SQL experience. Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
WEB DESIGNER Qualification: Bachelor Degree/ Advance Diploma in respective field with PHP & my SQL experience. Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
FREELANCE TEAM LEADER Qualification: Bachelor Degree/ Advance Diploma in respective field with cellular network experience Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
CUSTOMER CARE TELE EXECUTIVES Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
RETAILS SHOP SALES IN CHARGES Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
SALES EXECUTIVES Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field preferably with Telecom/FGCG wholesale experience Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
CORPORATE SALE EXECUTIVES Qualification: Bachelor Degree/Advance Diploma in respective field preferably with IT experience Apply: Hrmanagertz@gmail.com Details: Mwananchi, July 30,2012 Deadline: August 20,2012
SENIOR TUTOR II - IRRIGATION ENGINEERING Qualification: Master's Degree in Irrigation or Water Resources Engineering or Equivalent, whois eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - GEOTECHNICAL ENGINEERING Qualification: Master's Degree in Geotechnical or Civil Engineering, who is eligible for registration as technical teacher. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - ENVIRONMENTAL ENGINEERING Qualification: Master's Degree in Environmental Engineering or Equivalent, who is eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - COMMUNICATION SKILLS Qualification: Master's Degree in Communication Skills, who is eligible for registration as technical teacher. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012 SENIOR TUTOR II - CHEMISTRY Qualification: Master's Degree in Chemistry, who is eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II - AGRONOMY Qualification: Master's Degree in Agronomy or Agricultural Engineering, who is eligible for registration as technical teacher. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
MANAGEMENT INFORMATION SYSTEMS OFFICER WEBMASTER Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
SENIOR TUTOR II (FINANCIAL MANAGEMENT Qualification: Bachelor’s Degree in Commerce or Bachelor degree in Business Administration with education plus Masters Degree in either Business Administration, Commerce/Financial Management Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
CHIEF EXECUTIVE Qualification: Masters degree in Forestry with specialisation in forest biology from a recognised University. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
BURSAR Qualification: Bachelor degree in Commerce(Accountancy/Finance), Business Administration (Accountancy/Finance) or Advanced Diploma in Accountancy with CPA (T), ACCA or ACA from a recognised institution Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
DEPUTY RECTOR PLANNING, FINANCE AND ADMINISTRATION Qualification: Masters Degree or PhD holder of higher academic standing with credentials to be categorised as associate Professor of higher learning institution. Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
RECTOR/PRINCIPAL Qualification: PhD in Wildlife Management, Wildlife Tourism, Tourism Training or any relevant field of study and be eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR LECTURER Qualification: At least a 2nd Class Upper Division LL B Degree Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100, Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
INTERNAL AUDITOR GRADE I Qualification: Bachelor Degree in Accounting/Finance or Commerce from recognized Agency /Institution with CPA (T), ACCA or equivalent professional qualification Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100, Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II (EDUCATIONAL PLANNING AND MANAGEMENT) - 2 POSITIONS Qualification: Masters Degree in Education Planning or Educational Management) Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR II (EDUCATIONAL MANAGEMENT & ADMINISTRATION) Qualification: Master of Arts with Education (MA-Ed.) Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
SENIOR TUTOR I (CURRICULUM DEVELOPMENT & IMPLEMENTATION) Qualification: Master of Arts with Education (MA-Ed.) Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100, Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
TECHNICIAN II(CIVIL) - 19 POSITIONS Qualification: Full Technician Certificate (Civil)/ Diploma in Civil Engineering Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
ENGINEER II ( CIVIL ) - 21 POSITIONS Qualification: Bachelor Degree in Civil engineering or equivalent Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
PROGRAMME COORDINATOR Qualification: Master’s degree in either Project/Programme Management ,Finance ,Economics or Business Administration Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News, July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
DIRECTOR OF MANAGEMENT TRAINING, RESEARCH AND CONSULTANCY Qualification: Master’s degree or Post Graduate Diploma in either Management, Business Administration, Commerce, Computer Science, Economics, Engineering, Marketing, Accountancy or Finance Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
DIRECTOR GENERAL Qualification: PhD or Master’s in Natural/Social Science who attained a minimum of second class at undergraduate level Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: www.ajira.go.tz Deadline: August 10,2012
PUBLIC FINANCIAL MANAGEMENT (PFM) ADVISOR Qualification: Master’s degree /Postgraduate diploma in either Finance, Business Administration or Management Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News,July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
COMMUNICATION SPECIALIST Qualification: Master’s degree or Postgraduate diploma in Mass Communication,Journalism or Business Administration Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News,July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
FINANCE EXPERT/ADMINISTRATOR Qualification: Master’s degree in either Business Administration, Finance, or any Account Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News,July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
PROCUREMENT SPECIALIST Qualification: Master’s degree in either Procurement and Supply Chain Management,Engineering, Business Administration Finance or Economics Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News,July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
MONITORING AND EVALUATION ( M & E ) SPECIALIST Qualification: Master’s degree in either Project/Programme Planning and Management ,Finance ,Economics or Business Administration Apply: Secretary Public Service Recruitment Box 63100,Dar es Salaam Details: Daily News,July 27, 2012 Deadline: August 09,2012
MANAGEMENT INFORMATION SYSTEMS OFFICER Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
ASSISTANT GRAPHIC DESIGNER Qualification: Diploma in Arts and Design or equivalent qualification Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
ASSISTANT OFFICE MANAGEMENT SECRETARY Qualification: Diploma in secretarial services,Business Administration or any other related field from a recognized Institution Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
MANAGEMENT INFOMATION SYSTEMS ASSISTANT - 3 POSITIONS Qualification:Diploma in Computer Science,Information Technology or equivalent qualification Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
LIVELIHOODS ENHANCEMENT MANAGER Qualification: A Master’s degree in Entrepreneurshp,Business Administration,Economics or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
TRANSPORT OFFICER Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Mechanical Engineering,Transport logistics and Business Administration or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
DEVELOPMENT COMMUNICATION OFFICER Qualification: A first degree or equivalent qualification in Mass Communication,Public Relations and Social Sciences or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
PUBLIC WORKS PROGRAME MANAGER Qualification: A master’s degree in Civil Engineering,Land use Planning,Forestry or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
MONITORING & EVALUATION OFFICER Qualification: A first degree or equivalent qualification in Economics,Statistics,Socialogy or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
MANAGEMENT INFORMATION SYSTEMS OFFICER Qualification: Holder of a first degree or equivalent qualification in Computer Science,Computer Engineering,Information Technology or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
SAFEGUARDS SPECIALIST Qualification: Holder of master’s degree in Enviroment,Social Science and Community development or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
TRAINING AND PARTICIPATION SPECIALIST Qualification: Holder of master’s degree in Social Science,Community development and Human Resources or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
UNIFIELD REGISTRY OF BENEFICIARIES MANAGER Qualification: A Master’s degree in Social Science,business Statistics or any other development related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
CONDITIONAL CASH TRANSFER MANAGER Qualification: A Master’s Degree in Social Science,Econimics and Business Administration or any other development related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
COORDINATION MANAGER Qualification: Holder of master’s degree in Social Sciences,Business Administration,Engineering or any other related field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
DISBURSEMENTS MANAGER Qualification: Holder of master’s degree in Finance,Accounting and Finance Business Administration or any other related field Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
DIRECTOR OF COMMUNITY SUPPORT Qualification: Holder of master,s degree in Social Science,Business, Civil Engineering or any other development related field Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
DIRECTOR OF COORDINATION Qualification: Holder of Master’s degree in Business Administration,Human Resource,Engineering,Socialogy or any other development related Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi,July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
DIRECTOR OF KNOWLEDGE MANAGEMENT AND ADVOCACY Qualification: Holder of master’s degree in computer science mass communication,social science or other development field from a recognized university Apply: Tanzania Social Action Fund(TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012
RESULTS PROGRAMME MANAGER Qualification: A postigraduate degree in a relevant discipline such as evaluation,social science or economics, preferably with a research component and / or specific training in monitoring, evaluation, research methods & data analysis Apply: recruitment@trademarkea.com Details: The Citizen, July 17, 2012 Deadline: August 10,2012
ASSISTANT PROGRAMME OFFICER (JAPAN OVERSEAS COOPERATION VOLUNTEERS PROGRAME-JOCV) Qualification: A Bachelor’s Degree. Apply: Senior Representantive, General Affairs Section, JICA Tanzania Office, Box 9450 ,Dar es Salaam Details:The Citizen,July 16, 2012 Deadline: August 24,2012
PROGRAMME OFFICER(GENERAL AFFAIRS SECTION) Qualification: A Bachelor’s Degree. Apply: Senior Representantive, General Affairs Section, JICA Tanzania Office, Box 9450 ,Dar es Salaam Details:The Citizen, July 16, 2012 Deadline: August 24,2012
ASSISTANT DESKTOP PUBLISHER Qualification: Diploma in Arts Design or equivalent qualification Apply: Tanzania Social Action Fund (TASAF) Box 9381,Dar es Salaam Details: Mwananchi, July 17, 2012 Deadline: August 17,2012